View allAll Photos Tagged sylvester
Co. D, 97th IND. Infantry
The Council Grove Republican, Thursday, Mar. 16, 1911
Died: Mar. 10, 1911
Sylvester Davis.
Sylvester Davis was born in Lebanon, Montgomery county, Ohio, and died March
10, 1911, at the home of his son, W. T. Davis, at Delavan. He was 69 years, 9 months
and 21 days old.
His father died when he was quite young. Shortly afterward he moved to Putnam
county, Indiana, where he grew to manihood. He was married to Caroline C.
Matkins February 16, 1862.
Shortly after this marriage he heard the call of his country and offered himself as
its servant. In 1882 he in company with his wife and family moved to Morris
county, settling in Council Grove.
He was the father of five children, four sons and one daughter, all of whom are still
living.
Mr. Davis was a Christian man and a kind father. He was converted and united
with the M. E. church.
______
To our neighbors and friends at Council Grove and Delavan we offer our heartfelt
thanks to you and your kindly help and assistance in the death of our father, and
especially the old soldiers of the G. A. R. post of Council Grove, Rev. J. W. Reed and
the Sons and daughters of Justice, who had charge of the funeral at the Grove.
W. T. Davis and family,
F. M. Davis and family,
J. T. Davis and family,
D. I. Davis and family,
O. R. Gillespie and family,
Pamoja na Mambo mengine, Askofu Sylvester Gamanywa alisema, "Tusome kwenye Biblia" 2 Wakorintho 10:3-5.
3 Maana ingawa tunaenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili; 4 maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome. 5 Tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; tukiteka nyara kila fikra ipate kumtii Kristo.
Unaweza kuongezea mstari wa sita kama mimi nilivyoongezea. 6 Tena tukiwa tayari kupatiliza maasi yote kutii kwenu kutakapotimia.
Kikundi cha kwaya cha HEKIMA, kikiwa nyuma ya Askofu Sylvester Gamanywa, wakiimba "Siku mbaya zinakuja, mbona mwasitasita, unangoja mpaka siku ziishe, utalia na nani, au ni Yesu.
Ni nani wa kulaumiwa wakati siku zote unahubiriwa, na hata sasa unahubiriwa.
Wimbo wa kwaya hii ulipoisha, Askofu akaongezea, Simama kwa Miguu yako, Usiogope, usiwaze kitu kingine. Tii neno lake Mungu, la sivyo utaangamia, tii neno lake...
Utasitasita mpaka lini?
Utasema Mungu haoni, Mungu hawezi!
Mungu anakuona, anasikia, sikiliza sauti yake.
Simama katika neno lake, utauona wokovu wa Bwana na unakuzingira ukikulinda na mikono ya wabaya wala mashambulizi yao hayatakufikia tena.
Baada ya maombezi hayo, Mtumishi huyu wa Mungu, aliyeitwa kwa ajili ya uponyaji kwa watu wenye matatizo sugu yakipona kwa Jina la Yesu, kukemea mapepo na yanaondoka.
Alimalizia kwa kusema, "Baba nakushukuru kwa operation hiyo juu ya watu wako.
Nakushukuru kwa kuganga mioyo yao iliyovunjika.
Asante kwa ngome zilizoshushwa.
Maneno haya ya kuwaombea watu mbalimbali, yalifuatia mahubiri yaliyotoka katika kitabu cha Mathayo 4:3-4 "Ikiwa wewe ndio mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mkate. Yesu akajibu na kusema, Imeandikwa, mtu hataishi kwa mkate tu; Bali kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Majibu haya yalimfanya Yesu awe na msimamo, kuwa neno linalotakiwa tulishike ni lile la Mungu na si kila unalohubiriwa na shetani au waka wake.
Akathibitisha Yesu kuwa, Ana uzima na wala hatakufa kwa uweza wa maneno yatokayo katika kinywa cha Mungu.
Alipomalizia na kuacha kipaza sauti, Mchungaji Kadeghe alimpokea na kusema....
Gonga linki hii...http://www.flickr.com/photos/familiayawapo/540368656/